Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu) header
Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu) profile picture

The official Twitter page of the Prime Ministers’ Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri Mkuu

Dodoma,Tanzania.
Joined September 2019
Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)Photo by Ofisi ya Waziri Mkuu (@TZWaziriMkuu)
OMBI LA MZEE JONAS LATIMIA, DKT. MWIGULU AMKABIDHI BAJAJI Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato.
2
4
276
Wakati wa misukosuko mikubwa ya kidunia kama COVID-19, tuliona wazi umuhimu wa kuimarisha uzalishaji wa ndani wa bidhaa muhimu zikiwemo dawa. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝙒𝙖𝙯𝙞𝙧𝙞 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙏𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 🗓️Septemba 23, 2026 📍FAO-ROME, ITALY ———————————————
4
4
557
Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania
1
1
3
542
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha, Rais, @SuluhuSamia, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika Septemba 21–23, 2026, katika Makao Makuu ya FAO.
2
9
1,249
DONDOO: Yaliyojiri leo Wilayani Bahi, mkoani Dodoma, katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba.
1
2
47
5,956
Serikali imekusudia kuongeza kasi ya upatikanaji wa vitambulisho vya NIDA kwa kutambua umuhimu wake katika maisha ya kila siku ya Mtanzania-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————-
1
1
3
1,441
Ni lazima tuzingatie matumizi bora ya ardhi ili kutosababisha migororo katika maeneo yetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu
1
5
764
Tuwazimgatie watoto wa kiume, nao wako kwenye hatari za mmomonyoko wa maadili-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Katavi, Thomas Kampala Maganga
1
1,410
Ninazielekeza Wizara ya Kilimo, Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kukaa haraka ili kunusuru suala la bei za mazao -Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————-
1
1
721
Mawlid al-Nabi Mubarak
1
9
1,146
Heri ya Sikukuu ya Wakulima ‘Nanenane’ #Nanenane2026
13
1,016
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Julai 30, 2026 ashuhudia uwekezaji mkubwa katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), jijini Dar es Salaam. ▪️Ni katika Sekta ya Anga na Urubani
1
4
846
NUKUU ZA WAZIRI MKUU Ni lazima tusisitize na tuhimize uwajibikaji.
1
1
13
2,195
Nimemuelekeza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi awaite wakandarasi ambao walishaondoka site, warudi site na endeleeni kuwalipa fedha waendelee kutekeleza hii miradi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Tarime Mjini-Mara 🗓️ Julai 2, 2026
1
2
6
965
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba aibana RUWASA changamoto ya maji Rorya. 📍Rorya-Mara 🗓️Julai 2, 2026
6
777
Popote nitakapopita nikikuta kuna upotevu wa fedha iliyokusudiwa kwenda kwenye miradi ya maendeleo, hatuangalii sura hata kidogo, tutachukua hatua-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Chamwino-Dodoma 🗓️Aprili 19, 2026 ———————————————————-
7
4
1
11
1,609
Nimezuia hiyo nyumba isiuzwe, na anayetaka tupimane ubavu akaiuze hiyo nyumba-Waziri Mkuu Dkt. Mwingulu Nchemba. 📍Arusha-Tanzania 🗓️Aprili 17, 2026 ——————————————————
1
2
15
2,191
Kigoma siyo mkoa wa pembezoni kama ilivyokuwa imezoeleka zamani, bali ni mkoa wa katikati unaounganisha biashara, uwekezaji na uchukuzi katika ukanda wa Ziwa Tanganyika-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Kigoma-Tanzania 🗓️Aprili 16, 2026
3
6
10
589
NUKUU ZA WAZIRI MKUU - SEKTA YA ELIMU
1
1
4
547